Ukaribisho

profile

Dkt. Mfaume Salum Kibwana
Mganga Mfawidhi

Karibu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita kwa huduma bora kutoka kwa madaktari wabobezi na wazoefu.Katika tovuti hii utapata taarifa muhimu sana, za uhakika kuhusu huduma zetu. Mimi na watumishi wote wa hospitali hii tupo tayari kabisa kukuhudumia, hivyo karibu upate huduma zetu za matibabu ya kawaida na ya kibingwa.