wagonjwa wa nje

Idara ya wagonjwa wa nje ni idara inayohumia wagonjwa wote wanaofika hospitalini kupata huduma na kuondoka, kwa wastani wagonjwa 300-400 hupata huduma kila siku katika idara hii.